Back to stories list
Adhabu
Punishment
aɗhaɓu
Adelheid Marie Bwire
Melany Pietersen
Monica Shank Lauwo, Lauwo George
Lauwo George
Siku moja, mama alileta matunda mengi.
One day, mama got a lot of fruit.
siku moʄa @mama alileta matuⁿɗa meᵑgi
“Tutakula matunda lini?” tunauliza. “Tutakula matunda leo jioni,” mama anasema.
“When can we have some fruit?” we ask.
“We will have the fruit tonight,” says mama.
tutakula matuⁿɗa lini @tunauliza tutakula matuⁿɗa leo ʄioni @mama anasema
Kaka yangu Rahim ni mlafi. Anaonja onja matunda yote. Anakula matunda mengi.
My brother Rahim is greedy. He tastes all the fruit. He eats a lot of it.
kaka jaᵑgu @rahim ni mlafi @anaonja oⁿɗʒa matuⁿɗa jote anakula matuⁿɗa meᵑgi
“Angalia Rahim alichokifanya!” mdogo wangu analalamika kwa sauti. “Rahim ni mtundu na mchoyo,” ninasema.
“Look at what Rahim did!” shouts my little brother.
“Rahim is naughty and selfish,” I say.
aᵑgalia @rahim @alichokifanya mɗoɠo waᵑgu @analalamika kwa sauti @rahim ni mtuⁿɗu na mtʃojo ninasema
Mama amekasirishwa na Rahim.
Mother is angry with Rahim.
@mama @amekasirishwa na @rahim
Sisi pia tumekasirishwa na Rahim. Lakini Rahim haombi msamaha.
We are also angry with Rahim. But Rahim is not sorry.
sisi pia @tumekasirishwa na @rahim lakini @rahim @haombi msamaha
“Hutamwadhibu Rahim?” mdogo wangu anauliza.
“Aren’t you going to punish Rahim?” asks little brother.
@hutamwadhibu @rahim mɗoɠo waᵑgu anauliza
“Rahim, muda si mrefu utajuta,” mama anaonya.
“Rahim, soon you will be sorry,” warns mama.
@rahim muɗa si mɾefu utaʄuta @mama @anaonya
Rahim anaanza kuhisi kuumwa.
Rahim starts to feel sick.
@rahim anaaⁿza kuhisi kuumwa
“Tumbo langu linauma sana,” Rahim ananong’ona.
“My tummy is so sore,” whispers Rahim.
tuᵐɓo laᵑgu linauma sana @rahim @ananong’ona
Mama alijua hili litatokea. Matunda yanamwadhibu Rahim!
Mama knew this would happen. The fruit is punishing Rahim!
@mama aliʄua hili @litatokea matuⁿɗa @yanamwadhibu @rahim
Baadaye, Rahim anatuomba msamaha. “Kamwe sitakuwa mlafi tena,” anaahidi. Na sote tunamwamini.
Later, Rahim says sorry to us. “I will never be so greedy again,” he promises.
And we all believe him.
ɓaaɗaje @rahim @anatuomba msamaha kamwe sitakuwa mlafi tena anaahiɗi na sote tunamwamini
Written by: Adelheid Marie Bwire
Illustrated by: Melany Pietersen
Translated by: Monica Shank Lauwo, Lauwo George
Read by: Lauwo George