Download PDF
Back to stories list

Tingi na ng’ombe Tingi and the Cows tiᵑgi na ŋoᵐɓe

Written by Ingrid Schechter

Illustrated by Ingrid Schechter

Translated by Matteo E. Mwita

Read by Lauwo George

Language Kiswahili

Level Level 2

Narrate full story

Autoplay story


Tingi aliishi na bibi yake.

Tingi lived with his grandmother.

tiᵑgi aliiʃi na ɓiɓi jake


Alizoea kuchunga ng’ombe na bibi yake.

He used to look after the cows with her.

alizoea kutʃuᵑga ŋoᵐɓe na ɓiɓi jake


Siku moja wanajeshi walikuja.

One day the soldiers came.

siku moʄa wanaʄeʃi walikuʄa


Wakawachukua ng’ombe.

They took the cows away.

@wakawachukua ŋoᵐɓe


Tingi na bibi yake walikimbia na kujificha.

Tingi and his grandmother ran away and hid.

tiᵑgi na ɓiɓi jake walikiᵐɓia na kuʄifitʃa


Walijificha kichakani hadi usiku.

They hid in the bush until night.

@walijificha @kichakani haɗi usiku


Wanajeshi walirudi tena.

Then the soldiers came back.

wanaʄeʃi waliɾuɗi tena


Bibi alimficha Tingi chini ya majani.

Grandmother hid Tingi under the leaves.

ɓiɓi @alimficha tiᵑgi tʃini ja maʄani


Mwanajeshi mmoja alimkanyaga, lakini akanyamaza kimya.

One of the soldiers put his foot right on him, but he kept quiet.

mwanaʄeʃi mmoʄa @alimkanyaga lakini @akanyamaza kimja


Wanajeshi walipoondoka Tingi na bibi yake wakajitokeza.

When it was safe, Tingi and his grandmother came out.

wanaʄeʃi @walipoondoka tiᵑgi na ɓiɓi jake wakaʄitokeza


Wakajikongoja kimya kimya kurudi nyumbani.

They crept home very quietly.

@wakajikongoja kimja kimja kuɾuɗi ɲuᵐɓani


Written by: Ingrid Schechter
Illustrated by: Ingrid Schechter
Translated by: Matteo E. Mwita
Read by: Lauwo George
Language: Kiswahili
Level 2
Source: Tingi and the Cows from African Storybook
Creative Commons License
This work is licensed under a Creative Commons Attribution 3.0 International License.
Options
Back to stories list Download PDF