Download PDF
Back to stories list

Kwa nini Viboko Hawana Nywele Why hippos have no hair kwanini viɓoko hawana ɲwele

Written by Basilio Gimo, David Ker

Illustrated by Carol Liddiment

Translated by Matteo E. Mwita

Read by Lauwo George

Language Kiswahili

Level Level 2

Narrate full story

Autoplay story


Siku moja, Sungura alikuwa akitembea pembeni ya mto.

One day, Rabbit was walking by the riverside.

siku moʄa suᵑguɾa alikuwa akiteᵐɓea peᵐɓeni ja mto


Kiboko alikuwepo pia, akitembea huku akila majani mazuri ya kijani.

Hippo was there too, going for a stroll and eating some nice green grass.

kiɓoko @alikuwepo pia akiteᵐɓea huku akila maʄani mazuɾi ja kiʄani


Kiboko hakumwona Sungura na kwa bahati mbaya akaukanyaga mguu wa Sungura. Sungura akaanza kumpigia Kiboko kelele. “We Kiboko huoni kama umeukanyaga mguu wangu?”

Hippo didn’t see that Rabbit was there and she accidentally stepped on Rabbit’s foot. Rabbit started screaming at Hippo, “You Hippo! Can’t you see that you’re stepping on my foot?”

kiɓoko hakumwona suᵑguɾa na kwa ɓahati ᵐɓaja @akaukanyaga mɠuu wa suᵑguɾa suᵑguɾa akaaⁿza kumpiɠia kiɓoko kelele @we kiɓoko huoni kama @umeukanyaga mɠuu waᵑgu


Kiboko akamwomba Sungura msamaha, “Samahani, sikukuona, tafadhali nisamehe!” Lakini Sungura hakukubali na akaendelea kumbwatukia Kiboko, “Umefanya makusudi! Kuna siku utakiona, na nitakulipizia!”

Hippo apologised to Rabbit, “I’m so sorry. I didn’t see you. Please forgive me!” But Rabbit wouldn’t listen and he shouted at Hippo, “You did that on purpose! Someday, you’ll see! You’re going to pay!”

kiɓoko akamwoᵐɓa suᵑguɾa msamaha samahani sikukuona tafaɗhali nisamehe lakini suᵑguɾa hakukuɓali na akaeⁿɗelea @kumbwatukia kiɓoko umefaɲa makusuɗi kuna siku utakiona na @nitakulipizia


Sungura alienda kumtafuta moto na akamwambia, “Nenda, ukamchome Kiboko akitoka majini kuja kula majani. Alinikanyaga!” Moto ukajibu, “Hakuna tatizo, rafiki yangu Sungura, nitafanya ulichoniomba kufanya.”

Rabbit went to find Fire and said, “Go, burn Hippo when she comes out of the water to eat grass. She stepped on me!” Fire answered, “No problem, Rabbit, my friend. I’ll do just what you ask.”

suᵑguɾa @alienda kutafuta moto na akamwaᵐɓia neⁿɗa @ukamchome kiɓoko akitoka maʄini kuʄa kula maʄani @alinikanyaga moto @ukajibu hakuna tatizo ɾafiki jaᵑgu suᵑguɾa nitafaɲa @ulichoniomba kufaɲa


Baadaye, Kiboko alikuwa akila majani mbali na mto, aliposhtuka moto umelipuka. Miale ya moto ikaanza kuzichoma nywele za Kiboko.

Later, Hippo was eating grass far from the river when, “Whoosh!” Fire burst into flame. The flames began to burn Hippo’s hair.

ɓaaɗaje kiɓoko alikuwa akila maʄani ᵐɓali na mto @aliposhtuka moto @umelipuka miale ja moto ikaaⁿza @kuzichoma ɲwele za kiɓoko


Kiboko akaanza kulia na kukimbilia kwenye maji. Nywele zake zote zilikuwa zimeungua na moto. Kiboko aliendelea kulia, “Nywele zangu zimeungua na moto! Nywele zangu zote zimeisha! Nywele zangu nzuri!”

Hippo started to cry and ran for the water. All her hair was burned off by the fire. Hippo kept crying, “My hair has burned in the fire! My hair is all gone! My beautiful hair!”

kiɓoko akaaⁿza kulia na kukiᵐɓilia kweɲe maʄi ɲwele zake zote zilikuwa @zimeungua na moto kiɓoko alieⁿɗelea kulia ɲwele zaᵑgu @zimeungua na moto ɲwele zaᵑgu zote @zimeisha ɲwele zaᵑgu ⁿzuɾi


Sungura alikuwa na furaha kwa kuwa nywele za Kiboko ziliungua. Hadi leo kwa kuogopa moto, Kiboko hawezi kwenda mbali na maji.

Rabbit was happy that Hippo’s hair was burned. And to this day, for fear of fire, the hippo never goes far from the water.

suᵑguɾa alikuwa na fuɾaha kwa kuwa ɲwele za kiɓoko @ziliungua haɗi leo kwa kuoɠopa moto kiɓoko hawezi kweⁿɗa ᵐɓali na maʄi


Written by: Basilio Gimo, David Ker
Illustrated by: Carol Liddiment
Translated by: Matteo E. Mwita
Read by: Lauwo George
Language: Kiswahili
Level 2
Source: Why hippos have no hair from African Storybook
Creative Commons License
This work is licensed under a Creative Commons Attribution 3.0 International License.
Options
Back to stories list Download PDF