Download PDF
Back to stories list

Mwanamume mrefu A very tall man mwanamume mɾefu

Written by Cornelius Gulere

Illustrated by Catherine Groenewald

Translated by Ursula Nafula

Read by Lauwo George

Language Kiswahili

Level Level 2

Narrate full story

Autoplay story


Jembe lake lilikuwa fupi mno.

His hoe was too short.

ʄeᵐɓe @lake lilikuwa fupi mno


Mlango wake ulikuwa chini mno.

His doorway was too low.

mlaᵑgo @wake ulikuwa tʃini mno


Kitanda chake kilikuwa kifupi mno.

His bed was too short.

kitaⁿɗa tʃake kilikuwa kifupi mno


Baisikeli yake ilikuwa fupi sana.

His bicycle was too short.

ɓaisikeli jake ilikuwa fupi sana


Mtu huyu alikuwa mrefu zaidi!

This man was too tall!

mtu huju alikuwa mɾefu zaiɗi


Alitengeneza mpini wa jembe mrefu sana.

He made a very long hoe handle.

@alitengeneza mpini wa ʄeᵐɓe mɾefu sana


Alitengeneza fremu ndefu za milango.

He made very high door frames.

@alitengeneza fɾemu ⁿɗefu za milaᵑgo


Alitengeneza kitanda kirefu sana.

He made a very long bed.

@alitengeneza kitaⁿɗa kiɾefu sana


Akanunua baisikeli iliyokuwa ndefu mno.

He bought a very high bicycle.

akanunua ɓaisikeli ilijokuwa ⁿɗefu mno


Aliketi juu ya kiti kilichokuwa juu sana. Alikula kwa kutumia uma iliyokuwa ndefu mno.

He sat on a very high chair. He ate with a very long fork.

aliketi ʄuu ja kiti kilitʃokuwa ʄuu sana alikula kwa kutumia uma ilijokuwa ɾefu mno


Aliacha nyumba yake na kuishi katika msitu mkubwa. Aliishi kwa miaka mingi.

He left his house and lived in a big forest. He lived for many years.

aliatʃa ɲuᵐɓa jake na kuiʃi katika msitu mkuɓwa aliiʃi kwa miaka miᵑgi


Written by: Cornelius Gulere
Illustrated by: Catherine Groenewald
Translated by: Ursula Nafula
Read by: Lauwo George
Language: Kiswahili
Level 2
Source: A very tall man from African Storybook
Creative Commons License
This work is licensed under a Creative Commons Attribution 3.0 International License.
Options
Back to stories list Download PDF