Back to stories list
Tom muuza ndizi
Tom the banana seller
@tom muuza ⁿɗizi
Humphreys Odunga
Zablon Alex Nguku
Matteo E. Mwita
Lauwo George
Tom anabeba tenga la ndizi zilizoiva.
Tom carries a tray of ripe bananas.
@tom anaɓeɓa teᵑga la ⁿɗizi @zilizoiva
Tom anaenda sokoni kuuza ndizi.
Tom goes to the market to sell bananas.
@tom anaeⁿɗa sokoni kuuza ⁿɗizi
Sokoni watu wananunua matunda.
People at the market are buying fruit.
sokoni watu @wananunua matuⁿɗa
Lakini hakuna anayenunua ndizi za Tom. Wanapenda kununua matunda kutoka kwa akina mama.
But no one is buying
Tom’s bananas.
They prefer to buy fruit from women.
lakini hakuna anajenunua ⁿɗizi za @tom wanapeⁿɗa kununua matuⁿɗa kutoka kwa akina @mama
“Kwenye jamii yetu, ni wanawake pekee ndio wanaouza matunda,” watu wanasema. “Ni mwanamume wa aina gani huyu?” watu wanahoji.
“In our community, only women sell fruit,” people say. “What kind of a man is this?” people ask.
kweɲe ʄamii jetu ni wanawake pekee ⁿɗio @wanaouza matuⁿɗa watu wanasema ni mwanamume wa aina ɠani huju watu @wanahoji
Lakini Tom hakati tamaa. Anaita, “Nunua ndizi zangu! Nunueni ndizi zangu tamu zilizoiva!”
But Tom does not give up.
He calls, “Buy my bananas!
Buy my sweet ripe bananas!”
lakini @tom @hakati tamaa @anaita nunua ⁿɗizi zaᵑgu @nunueni ⁿɗizi zaᵑgu tamu @zilizoiva
Mwanamke mmoja anachukua kichane cha ndizi kutoka kwenye tenga. Anaziangalia ndizi kwa umakini.
One woman picks up a bunch of bananas from the tray.
She looks at the bananas carefully.
mwanamke mmoʄa anatʃukua @kichana tʃa ⁿɗizi kutoka kweɲe teᵑga @anaziangalia ⁿɗizi kwa @umakini
Mwanamke ananunua ndizi.
The woman buys the bananas.
mwanamke @ananunua ⁿɗizi
Watu wengine wanakuja kwenye kichanja. Wananunua ndizi za Tom na kuzila.
More people come to the stall.
They buy Tom’s bananas and eat them.
watu weᵑgine wanakuʄa kweɲe kitʃaⁿɗʒa @wananunua ⁿɗizi za @tom na @kuzila
Mara, tenga linakuwa tupu. Tom anahesabu pesa alizopata.
Soon, the tray is empty.
Tom counts the money he earned.
maɾa teᵑga @linakuwa tupu @tom @anahesabu pesa alizopata
Tom ananunua sabuni, sukari, na mkate. Anaweka vitu kwenye tenga lake.
Then Tom buys soap, sugar, and bread.
He puts the things in his tray.
@tom @ananunua saɓuni sukaɾi na mkate @anaweka vitu kweɲe teᵑga @lake
Tom anajitwisha tenga kichwani na kwenda nyumbani.
Tom balances the tray on his head and goes home.
@tom @anajitwisha teᵑga kitʃwani na kweⁿɗa ɲuᵐɓani
Written by: Humphreys Odunga
Illustrated by: Zablon Alex Nguku
Translated by: Matteo E. Mwita
Read by: Lauwo George