Back to stories list
Khalai azungumza na mimea
Khalai talks to plants
@khalai @azungumza na mimea
Ursula Nafula
Jesse Pietersen
Ursula Nafula
Lauwo George
Khalai ni msichana mwenye umri wa miaka saba. Jina lake lina maana ya ‘aliye mzuri’ katika lugha yake ya Lubukusu.
This is Khalai.
She is seven years old.
Her name means ‘the
good one’ in her
language, Lubukusu.
@khalai ni msitʃana mweɲe umɾi wa miaka saɓa ʄina @lake lina maana ja @’aliye @mzuri’ katika luɠha jake ja @lubukusu
Khalai anaamka na kuongea na mmea mchanga wa Mchungwa, “Tafadhali mti wa Mchungwa, kua mkubwa uzae machungwa mengi mabivu.”
Khalai wakes up and
talks to the orange tree.
“Please orange tree,
grow big and give us
lots of ripe oranges.”
@khalai @anaamka na kuoᵑgea na mmea mtʃaᵑga wa mtʃuᵑgwa tafaɗhali mti wa mtʃuᵑgwa kua mkuɓwa @uzae matʃuᵑgwa meᵑgi maɓivu
Khalai anaenda shuleni na njiani anaongea na Nyasi, “Tafadhali Nyasi, kua kijani zaidi na zaidi na wala usikauke.”
Khalai walks to school.
On the way she talks to
the grass. “Please
grass, grow greener
and don’t dry up.”
@khalai anaeⁿɗa ʃuleni na ⁿɗʒiani anaoᵑgea na ɲasi tafaɗhali ɲasi kua kiʄani zaiɗi na zaiɗi na wala @usikauke
Khalai anayapita Maua ya mwituni na kusema, “Tafadhali Maua, endelea kunawiri ili niweze kukuweka kwenye nywele zangu.”
Khalai passes wild
flowers. “Please
flowers, keep blooming
so I can put you in my
hair.”
@khalai @anayapita maua ja mwituni na kusema tafaɗhali maua eⁿɗelea @kunawiri ili niweze @kukuweka kweɲe ɲwele zaᵑgu
Akiwa shuleni, Khalai anazunguumza na Mti ulioko katikati ya shule, “Tafadhali Mti, toa matawi makubwa ili tusome chini ya kivuli chako.”
At school, Khalai talks
to the tree in the
middle of the
compound. “Please
tree, put out big
branches so we can
read under your shade.”
akiwa ʃuleni @khalai @anazunguumza na mti ulioko katikati ja ʃule tafaɗhali mti toa matawi makuɓwa ili @tusome tʃini ja kivuli tʃako
Khalai anazunguumza na ua unaoizingira shule yake, “Tafadhali ua, kuwa mwenye nguvu ili uzuie shule yetu kutokana na watu wabaya.”
Khalai talks to the
hedge around her school.
“Please grow strong
and stop bad people
from coming in.”
@khalai @anazunguumza na ua @unaoizingira ʃule jake tafaɗhali ua kuwa mweɲe ᵑguvu ili @uzuie ʃule jetu kutokana na watu waɓaja
Anaporudi nyumbani alasiri, Khalai anautembelea mti wa Mchungwa kuangalia kama machungwa yameiva.
When Khalai returns
home from school, she
visits the orange tree.
“Are your oranges ripe
yet?” asks Khalai.
anapoɾuɗi ɲuᵐɓani alasiɾi @khalai @anautembelea mti wa mtʃuᵑgwa kuaᵑgalia kama matʃuᵑgwa jameiva
“Machungwa bado mabichi,” Khalai anashusha pumzi. “Nitakuona kesho, we mti wa machungwa. Labda utanipa chungwa bivu wakati huo.”
“The oranges are still
green,” sighs Khalai.
“I will see you tomorrow
orange tree,” says
Khalai. “Perhaps then
you will have a ripe
orange for me!”
matʃuᵑgwa ɓaɗo maɓitʃi @khalai anaʃuʃa pumzi nitakuona keʃo @we mti wa matʃuᵑgwa laɓɗa @utanipa tʃuᵑgwa ɓivu wakati huo
Written by: Ursula Nafula
Illustrated by: Jesse Pietersen
Translated by: Ursula Nafula
Read by: Lauwo George