Download PDF
Back to stories list

Tingi na in’gombe Tingi na ng'ombe

Written by Ingrid Schechter

Illustrated by Ingrid Schechter

Translated by Stephen Zulu

Language IciBemba

Level Level 2

Narrate full story The audio for this story is currently not available.


Tingi aleeikala naba nakulu.

Tingi aliishi na bibi yake.


Aaleafwa banakulu ukusunga in’gombe.

Alizoea kuchunga ng’ombe na bibi yake.


Bushiku bumo abashilika baishile.

Siku moja wanajeshi walikuja.


Baasendele In’ gombe no kuya nasho

Wakawachukua ng’ombe.


Tingi na banakulu baabutwike.

Tingi na bibi yake walikimbia na kujificha.


Baabeleme mu mpanga mpaka bwaila.

Walijificha kichakani hadi usiku.


Elyo abashilika baishile nakabili.

Wanajeshi walirudi tena.


Banakulu baafishile Tingi panshi yamabula.

Bibi alimficha Tingi chini ya majani.


Umo pa bashilika aabikile ulukasa palya pene pali Tingi, nomba Tingi aali fye tondolo.

Mwanajeshi mmoja alimkanyaga, lakini akanyamaza kimya.


Lintu abashilika baile, Tingi na banakulu bafisamwike.

Wanajeshi walipoondoka Tingi na bibi yake wakajitokeza.


Baile ku n,ganda umutalalila.

Wakajikongoja kimya kimya kurudi nyumbani.


Written by: Ingrid Schechter
Illustrated by: Ingrid Schechter
Translated by: Stephen Zulu
Language: IciBemba
Level: Level 2
Source: Tingi and the Cows from African Storybook
Creative Commons License
This work is licensed under a Creative Commons Attribution 3.0 International License.
Options
Back to stories list Download PDF