Home
About
About us
Languages
How to use this website
Contact us
Download PDF
Change language
Kinyarwanda
French
English
Swahili
Back to stories list
Unafanya nini?
Uri gukora iki?
Qu'est-ce que tu fais ?
rw
fr
Nina Orange
Wiehan de Jager
Matteo E. Mwita
Kiswahili
Level 1
Ninaimba.
Ndi kuririmba.
Je chante.
rw
fr
Anapunga mkono.
Arimo arazunguza akaboko (Arimo gupepera).
Elle fait un signe de la main.
rw
fr
Ninapiga makofi.
Ndi gukoma mu amashyi.
Je tape des mains.
rw
fr
Anajinyoosha.
Arimo kwinanura.
Elle s’étire.
rw
fr
Anaita.
Arimo guhamagara.
Il appelle quelqu’un.
rw
fr
Ninaitika.
Ndi gusubiza (Ndi kwitaba).
Je réponds.
rw
fr
Anasikiliza.
Arimo kunva (Ateze amatwi).
Elle écoute.
rw
fr
Wewe unafanya nini?
Urimo gukora iki?
Qu’est-ce que tu fais ?
rw
fr
Written by: Nina Orange
Illustrated by: Wiehan de Jager
Translated by: Matteo E. Mwita
Language:
Kiswahili
Level 1
Source:
What are you doing?
from
African Storybook
This work is licensed under a
Creative Commons Attribution 3.0 International License
.
Read more
level 1
stories:
Mwili wangu
Wapi paka wangu?
Kuhesabu wanyama
Kupika
Mdogo wangu mvivu
Hisia
Tazama wanyama
Sare za shule
Mbili
Mamba mwenye njaa
Nywele
Kitabu cha hali ya hewa
Moto
Ninapenda kusoma!
Options
Back to stories list
Download PDF