Home
About
About us
Languages
How to use this website
Contact us
Download PDF
Change language
Kinyarwanda
French
English
Swahili
Back to stories list
Sare za shule
Imyenda y'ishuli
Les vêtements d'école
rw
fr
Clare Verbeek, Thembani Dladla, Zanele Buthelezi
Mlungisi Dlamini, Ingrid Schechter
Gladys Njoki, Racheal Njoki
Kiswahili
Level 1
Gauni hili ni refu.
Iyi kanzu ni ndende.
Cette robe est longue.
rw
fr
Sweta hii ni kubwa.
Uyu mupira ni munini.
Ce pull est grand.
rw
fr
Mkoba huu ni mkubwa.
Iki gikapu ni kinini.
Ce sac est grand.
rw
fr
Mkanda huu ni…
Uyu mukandara ni…
Cette ceinture est…
rw
fr
Kofia hii ni ndogo.
Iyi ngofero ni ntoya.
Ce chapeau est petit.
rw
fr
Soksi hizi ni fupi.
Amasogisi ni magufi.
Les chaussettes sont courtes.
rw
fr
Lakini viatu hivi ni vipya.
Ariko izi nkweto ni shya.
Mais ces souliers sont neufs.
rw
fr
…vinanitosha vizuri.
… zirakwira neza.
… ils font bien.
rw
fr
Written by: Clare Verbeek, Thembani Dladla, Zanele Buthelezi
Illustrated by: Mlungisi Dlamini, Ingrid Schechter
Translated by: Gladys Njoki, Racheal Njoki
Language:
Kiswahili
Level 1
Source:
School clothes
from
African Storybook
This work is licensed under a
Creative Commons Attribution-NonCommercial 3.0 International License
.
Read more
level 1
stories:
Mwili wangu
Wapi paka wangu?
Kuhesabu wanyama
Kupika
Mdogo wangu mvivu
Hisia
Tazama wanyama
Mbili
Unafanya nini?
Mamba mwenye njaa
Nywele
Kitabu cha hali ya hewa
Moto
Ninapenda kusoma!
Options
Back to stories list
Download PDF