Download PDF
Back to stories list

تِينْغِي وَ البَقَرُ Tingi na ng'ombe

Written by Ingrid Schechter

Illustrated by Ingrid Schechter

Translated by Heba Tesheh, Maaouia Haj Mabrouk

Read by Mashael Muhanna

Language Arabic

Level Level 2

Narrate full story

Reading speed

Autoplay story


تِينْغِي يَعِيشُ مَعَ جَدَّتِهِ.

Tingi aliishi na bibi yake.


هُوَ اِعْتَادَ أَنْ يَهْتَمَّ بِالبَقَرَ مَعَهَا.

Alizoea kuchunga ng’ombe na bibi yake.


فِي أَحَدِ الأَيَّامِ جَاءَ اَلجُنودُ.

Siku moja wanajeshi walikuja.


وَأَخَذُوا اَلبَقَرَ بَعِيداً.

Wakawachukua ng’ombe.


هَرَبَ تِينْغِي وَجَدَّتُهُ بَعِيداً وَاختَبَؤُا.

Tingi na bibi yake walikimbia na kujificha.


وَاخْتَبَؤُا بيْنَ اَلشُّجَيْرَاتِ حَتَّى اللَّيْلِ.

Walijificha kichakani hadi usiku.


ثُمَّ عَادَ اَلجُنودُ.

Wanajeshi walirudi tena.


خَبَّأَتْ اَلجَدَّةُ تِينْغِي تَحْتَ الأَوْرَاقِ.

Bibi alimficha Tingi chini ya majani.


وَضَعَ أَحَدُ اَلجُنُودِ قَدَمَهُ عَلَى يَمِينِهِ، لَكِنَّهُ بَقِيَ هَادِئاً.

Mwanajeshi mmoja alimkanyaga, lakini akanyamaza kimya.


عِندَمَا صَارَ اَلمَكَانُ آمِناً، خَرَجَ تِينْغِي وجَدَّتَهُ.

Wanajeshi walipoondoka Tingi na bibi yake wakajitokeza.


وَتَسَلَّلَا إِلَى بَيْتِهِمَا بِبُطْئٍ.

Wakajikongoja kimya kimya kurudi nyumbani.


Written by: Ingrid Schechter
Illustrated by: Ingrid Schechter
Translated by: Heba Tesheh, Maaouia Haj Mabrouk
Read by: Mashael Muhanna
Language: Arabic
Level: Level 2
Source: Tingi and the Cows from African Storybook
Creative Commons License
This work is licensed under a Creative Commons Attribution 3.0 International License.
Options
Back to stories list Download PDF