Back to stories list
Buku angumile niri
Weather book
Kitabu cha hali ya hewa
Clare Verbeek, Thembani Dladla, Zanele Buthelezi
Sandra McDougall
Doris Maandebo
The audio for this story is currently not available.
Angu a’wi ru
It is dry.
Hakuna mvua.
Etu dri dri.
The sun is hot.
Jua linang’aa.
Oli ni li li.
It is windy.
Kuna upepo.
Angu mile iriti ru
It is cloudy.
Kuna mawingu.
Angu ambi ambi.
It is cold.
Kuna baridi.
Ozoo ni ‘di.
It is raining.
Mvua inanyesha.
Ovi ci.
There is thunder.
Kuna ngurumo za radi.
Ane geri ni.
I see a rainbow.
Naona upinde wa mvua.
Written by: Clare Verbeek, Thembani Dladla, Zanele Buthelezi
Illustrated by: Sandra McDougall
Translated by: Doris Maandebo