Download PDF
Back to stories list

Mwili wangu Mwili wangu My body

Written by Clare Verbeek, Thembani Dladla, Zanele Buthelezi

Illustrated by Mlungisi Dlamini, Ingrid Schechter

Translated by Peterson Kibuuri, Stevenson Mutisya

Read by Lauwo George

Language Kiswahili

Level Level 1

Narrate full story

Reading speed

Autoplay story


Ninaweza kukimbia nao.

Ninaweza kukimbia nao.

I can run with it.


Ninaweza kuruka nao.

Ninaweza kuruka nao.

I can jump with it.


Ninaweza kucheza nao.

Ninaweza kucheza nao.

I can dance with it.


Ninaweza kuogelea nao.

Ninaweza kuogelea nao.

I can swim with it.


Ninaweza kuruka kamba nao.

Ninaweza kuruka kamba nao.

I can skip with it.


Ninaweza kupiga mpira nao.

Ninaweza kupiga mpira nao.

I can kick with it.


Ninaweza kutoroka nao.

Ninaweza kutoroka nao.

I can escape with it.


Lakini siwezi kupaa nao angani.

Lakini siwezi kupaa nao angani.

But I can never fly with it.


Written by: Clare Verbeek, Thembani Dladla, Zanele Buthelezi
Illustrated by: Mlungisi Dlamini, Ingrid Schechter
Translated by: Peterson Kibuuri, Stevenson Mutisya
Read by: Lauwo George
Language: Kiswahili
Level: Level 1
Source: My body from African Storybook
Creative Commons License
This work is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial 3.0 International License.
Options
Back to stories list Download PDF