Back to stories list
Ibuuku lya pamiceele
Kitabu cha hali ya hewa
Weather book
Clare Verbeek, Thembani Dladla, Zanele Buthelezi
Sandra McDougall, Ingrid Schechter
Joseph Mwansa
The audio for this story is currently not available.
Taileloka.
Hakuna mvua.
It is dry.
Akasuba nakakaba.
Jua linang’aa.
The sun is hot.
Umwela uleepuupa.
Kuna upepo.
It is windy.
Kuli amakumbi.
Kuna mawingu.
It is cloudy.
Nakutalala.
Kuna baridi.
It is cold.
Imfula ileeloka.
Mvua inanyesha.
It is raining.
Ileepanta.
Kuna ngurumo za radi.
There is thunder.
Namona umukolamfula.
Naona upinde wa mvua.
I see a rainbow.
Written by: Clare Verbeek, Thembani Dladla, Zanele Buthelezi
Illustrated by: Sandra McDougall, Ingrid Schechter
Translated by: Joseph Mwansa