Back to stories list
اور ته ګوره!
Angalia, moto!
اور سوځوي.
Moto unachoma.
اور خواړه پخوي.
Moto unatumika kupika.
اور تودوخه کوي.
Moto unaleta joto.
اور رڼا کوي.
Moto unaleta mwanga.
اور ته وګوره.
Angalia, moto!
اور ډېر جالبه دی.
Moto ni wa ajabu.
او دا انرژي تولیدوي.
Na una nguvu sana.
Written by: Deborah Namugosa, Beatrice Nabune, Alison Tukei, Rose Sabano
Illustrated by: Rob Owen
Translated by: Darakhte Danesh
Read by: Abdul Rafi Mohammadi