Back to stories list
Vuur
Moto
Deborah Namugosa, Beatrice Nabune, Alison Tukei, Rose Sabano
Rob Owen
Sacha Kalseth
The audio for this story is currently not available.
Kijk, vuur!
Angalia, moto!
Vuur brand.
Moto unachoma.
Vuur kookt.
Moto unatumika kupika.
Vuur geeft warmte.
Moto unaleta joto.
Vuur geeft licht.
Moto unaleta mwanga.
Kijk, vuur!
Angalia, moto!
Vuur is wonderlijk.
Moto ni wa ajabu.
En het is machtig.
Na una nguvu sana.
Written by: Deborah Namugosa, Beatrice Nabune, Alison Tukei, Rose Sabano
Illustrated by: Rob Owen
Translated by: Sacha Kalseth