Ich wache auf und mache Feuer.
Ninaamka na kuwasha moto.
Ich koche ein wenig Wasser.
Ninachemsha maji.
Ich rühre um.
Ninakoroga uji kwenye chungu.
Warum arbeite ich so viel …
… während mein Bruder munter spielt?
Kwa nini ninafanya kazi kwa bidii…
…wakati mdogo wangu anacheza?