Mikono miwili midogo ya kushikia.
Two little hands to hold.
mikono miwili miɗoɠo ja kuʃikia
Miguu miwili midogo ya kupigia.
Two little feet to kick.
miɠuu miwili miɗoɠo ja kupiɠia
Macho mawili madogo ya kuonea.
Two little eyes to see.
@macho mawili maɗoɠo ja kuonea
Masikio mawili madogo ya kusikia.
Two little ears to hear.
masikio mawili maɗoɠo ja kusikia
Na mikono miwili ya KUKUMBATIA kwa upendo!
And two loving arms to HUG!
na mikono miwili ja @kukumbatia kwa upeⁿɗo