Download PDF
Back to stories list

Kuhesabu wanyama Counting animals kuhesaɓu waɲama

Written by Zanele Buthelezi, Thembani Dladla, Clare Verbeek

Illustrated by Rob Owen

Translated by Matteo E. Mwita

Read by Lauwo George

Language Kiswahili

Level Level 1

Narrate full story

Autoplay story


Tembo mmoja anakwenda kunywa maji.

One elephant is going to drink water.

teᵐɓo mmoʄa anakweⁿɗa kuɲwa maʄi


Twiga wawili wanaenda kunywa maji.

Two giraffes are going to drink water.

twiɠa wawili @wanaenda kuɲwa maʄi


Nyati watatu na ndege wanne nao wanaenda kunywa maji.

Three buffaloes and four birds are also going to drink water.

ɲati watatu na ⁿɗeɠe wanne nao @wanaenda kuɲwa maʄi


Swala watano na ngiri sita wanatembea kuelekea kwenye maji.

Five impalas and six warthogs are walking to the water.

swala watano na ᵑgiɾi sita wanateᵐɓea kuelekea kweɲe maʄi


Punda milia saba wanakimbia kuelekea kwenye maji.

Seven zebras are running to the water.

puⁿɗa milia saɓa wanakiᵐɓia kuelekea kweɲe maʄi


Vyura wanane na samaki tisa wanaogelea kwenye maji.

Eight frogs and nine fish are swimming in the water.

vjuɾa wanane na samaki tisa @wanaogelea kweɲe maʄi


Simba mmoja anaunguruma. Naye anataka kunywa maji. Nani anamwogopa simba?

One lion roars. He also wants to drink. Who is afraid of the lion?

siᵐɓa mmoʄa @anahuguruma naje anataka kuɲwa maʄi nani anamwoɠopa siᵐɓa


Tembo mmoja anakunywa maji na simba.

One elephant is drinking water with the lion.

teᵐɓo mmoʄa @anakunywa maʄi na siᵐɓa


Written by: Zanele Buthelezi, Thembani Dladla, Clare Verbeek
Illustrated by: Rob Owen
Translated by: Matteo E. Mwita
Read by: Lauwo George
Language: Kiswahili
Level 1
Source: Counting animals from African Storybook
Creative Commons License
This work is licensed under a Creative Commons Attribution 3.0 International License.
Options
Back to stories list Download PDF