Download PDF
Back to stories list

Mamba mwenye njaa The hungry crocodile @mamba mweɲe ⁿɗʒaa

Written by Christian G.

Illustrated by Wiehan de Jager

Translated by Brigid Simiyu

Read by Lauwo George

Language Kiswahili

Level Level 1

Narrate full story

Autoplay story


Hapo zamani, palikuwa na mamba mwenye njaa.

Once there was a very hungry crocodile.

hapo zamani palikuwa na @mamba mweɲe ⁿɗʒaa


Alitafuta chakula taratibu na kwa ukimya. Halafu…

He searched for food slowly and quietly. And then…

@alitafuta tʃakula taɾatiɓu na kwa ukimja halafu @…


POO!!! Mamba anashambulia!

POW!!! The crocodile strikes!

@poo @mamba @anashambulia


Baada ya hapo hana njaa tena, na anafurahi.

After that he is no longer hungry, and he is happy.

ɓaaɗa ja hapo hana ⁿɗʒaa tena na anafuɾahi


Hadi atakapopatwa na njaa tena.

Until he gets hungry again.

haɗi @atakapopatwa na ⁿɗʒaa tena


Written by: Christian G.
Illustrated by: Wiehan de Jager
Translated by: Brigid Simiyu
Read by: Lauwo George
Language: Kiswahili
Level 1
Source: The hungry crocodile from African Storybook
Creative Commons License
This work is licensed under a Creative Commons Attribution 3.0 International License.
Options
Back to stories list Download PDF