Ninaamka na kuwasha moto.
I wake up and make fire.
@ninaamka na kuwaʃa moto
Ninakoroga uji kwenye chungu.
I stir the pot.
@ninakoroga uʄi kweɲe tʃuᵑgu
Kwa nini ninafanya kazi kwa bidii…
…wakati mdogo wangu anacheza?
Why do I work so hard…
… when my brother is busy playing?
kwa nini ninafaɲa kazi kwa ɓiɗii @…
@… wakati mɗoɠo waᵑgu anatʃeza