Tingi aliishi na bibi yake.
Tingi lived with his grandmother.
Tingi vivait avec sa grand-mère.
Alizoea kuchunga ng’ombe na bibi yake.
He used to look after the cows with her.
Il gardait les vaches avec elle.
Siku moja wanajeshi walikuja.
One day the soldiers came.
Un jour, des soldats arrivèrent.
Wakawachukua ng’ombe.
They took the cows away.
Ils emmenèrent les vaches.
Tingi na bibi yake walikimbia na kujificha.
Tingi and his grandmother ran away and hid.
Tingi et sa grand-mère se sauvèrent et se cachèrent.
Walijificha kichakani hadi usiku.
They hid in the bush until night.
Ils restèrent cachés dans des buissons jusqu’au soir.
Wanajeshi walirudi tena.
Then the soldiers came back.
Puis les soldats revinrent.
Bibi alimficha Tingi chini ya majani.
Grandmother hid Tingi under the leaves.
La grand-mère de Tingi recouvrit alors leurs corps de feuilles.
Mwanajeshi mmoja alimkanyaga, lakini akanyamaza kimya.
One of the soldiers put his foot right on him, but he kept quiet.
Un des soldats marcha sur Tingi, mais celui-ci ne réagit pas.
Wanajeshi walipoondoka Tingi na bibi yake wakajitokeza.
When it was safe, Tingi and his grandmother came out.
Quand il n’y eut plus de danger, Tingi et sa grand-mère se relevèrent.
Wakajikongoja kimya kimya kurudi nyumbani.
They crept home very quietly.
Ils revinrent chez eux sans faire le moindre bruit.