Back to stories list
Atiakun Akiroit
Decision
Uamuzi
Ursula Nafula
Vusi Malindi
Simon Ipoo
The audio for this story is currently not available.
Ayakar kolong adakar kosi ng’ichan lukaalak. Eding’iding’ae ewokio ng’akipi alochor.
My village had many problems.
We made a long line to fetch water from one tap.
Kijiji changu kilikuwa na matatizo mengi. Tulipanga foleni ndefu tukisubiri kuchota maji kutoka mfereji mmoja.
Edaruuniyo sua akimuj na eyaunit najokotau.
We waited for food donated by others.
Tulisubiri kupokea msaada wa chakula.
Agoleneo ng’awiyei jiik kotere ng’ikokolak lu apetuna.
We locked our houses early because of thieves.
Tulifunga nyumba zetu mapema kwasababu ya wizi.
Apotu ng’ide lukaalak toisikis akisomare esukul.
Many children dropped out of school.
Watoto wengi waliacha shule.
Asubete ng’ide lupesur luuchik etich ang’awiyei ang’itunga toriamuneta ng’asiling’a.
Young girls worked as maids in other villages.
Wasichana wadogo walifanya kazi za nyumbani kwenye vijiji vingine.
Epasaate ng’isapa alokiding adakar, etiyaate luche etich ang’amanat ang’itung’a.
Young boys roamed around the village while others worked on people’s farms.
Wavulana wadogo waliranda randa kijijini na wengine walifanya kazi kwenye mashamba ya watu.
Arai na ekutunia ekuwam, kilelebun ng’akalakalia lokito ka ng’alarin.
When the wind blew, waste paper hung on trees and fences.
Upepo ulipovuma, ulipeperusha karatasi chafu na kuzifikisha mitini na uani.
Todung’udung’osi ng’achupae na eleleba wadaang ng’itung’a.
People were cut by broken glass that was thrown carelessly.
Watu walikatwa na vipande vya chupa vilivyotupwa ovyo ovyo.
Apei kwaar towon aperech tong’opa ng’akipi.
Then one day, the tap dried up and our containers were empty.
Halafu siku moja, mfereji wa maji ulikauka na mitungi yetu ikawa mitupu.
Abu apakang tochunak ng’itung’a daang lokiriam adakar.
My father walked from house to house asking people to attend a village meeting.
Baba yangu alitembea nyumba hadi nyumba akiwaomba watu kuhudhuria mkutano wa kijiji.
Tochunakin ng’itung’a kwap ekitoe loapolon topupokis.
People gathered under a big tree and listened.
Watu walikusanyika chini ya mti mkubwa na kusikiliza.
Tonyou ng’esi tama, “Echamitae ng’oni daang esiriama ng’atameta eng’arakinotor.”
My father stood up and said, “We need to work together to solve our problems.”
Baba yangu alisimama na kusema, “Tunahitaji kusaidiana kutatua matatizo yetu.”
Abu Juma-lo arai ng’ikaru ng’ikankauni-kirema alokwap ekitoe tama, “Apedori ayong eng’arak alowae alo akiteseg akwap.”
Eight-year-old Juma, sitting on a tree trunk shouted, “I can help with cleaning up.”
Juma, mtoto wa miaka minane aliyekuwa amekaa kwenye tawi la mti, alisema kwa sauti, “Naweza kusaidia na usafi.”
Tama aberu apei, “Potu ng’aberu daang eng’arakinos akitauni akimuj anamanat.”
One woman said, “The women can join me to grow food.”
Mwanamke mmoja alisema, “Sisi wanawake tunaweza kuungana na kulima.”
Tama eche-kile enyouni kidiama, “Tobokut ng’ikiliok akare ang’akipi.”
Another man stood up and said, “The men will dig a well.”
Mwanamume mwingine alisimama na kusema, “Wanaume watachimba kisima cha maji.”
Eremasi sua daang aetoil atamasi, “Potu elokonyo eboyor yok!” Anyoun akwar ng’ina atotiakutu sua daang asubakin eboyor kosi.
We all shouted with one voice, “We must change our lives.”
From that day we worked together to solve our problems.
Sote tulisema kwa sauti moja, “Lazima tubadilishe maisha yetu.” Tangu siku hiyo, tulifanya kazi pamoja kutatua shida zetu.
Written by: Ursula Nafula
Illustrated by: Vusi Malindi
Translated by: Simon Ipoo