Download PDF
Back to stories list

Ekile Lokooyan Noi A very tall man Mwanamume mrefu

Written by Cornelius Gulere

Illustrated by Catherine Groenewald

Translated by Simon Ipoo

Language Turkana

Level Level 2

Narrate full story The audio for this story is currently not available.


Ayei kolong ekile lokooyan, auriana emeleku ating’it.

His hoe was too short.

Jembe lake lilikuwa fupi mno.


Auriana ekidor lolomaret kai dang.

His doorway was too low.

Mlango wake ulikuwa chini mno.


Adit nabo tani ekitanda loperiet keng.

His bed was too short.

Kitanda chake kilikuwa kifupi mno.


Ibasikil dang auriana lokojokon.

His bicycle was too short.

Baisikeli yake ilikuwa fupi sana.


Apisit ekile aitwan kire!

This man was too tall!

Mtu huyu alikuwa mrefu zaidi!


Abu ng’esi tosubak emeleku lokooyan a ting’et.

He made a very long hoe handle.

Alitengeneza mpini wa jembe mrefu sana.


Todupaki ng’apirin nakooyak lokidor.

He made very high door frames.

Alitengeneza fremu ndefu za milango.


Ekitanda dang, dio tosubak lokooyan.

He made a very long bed.

Alitengeneza kitanda kirefu sana.


Tolot lodukan togiel abasikil nakooyan kwa ng’esi.

He bought a very high bicycle.

Akanunua baisikeli iliyokuwa ndefu mno.


Ekicholong ka akijiko na emujeena awoyak daang.

He sat on a very high chair. He ate with a very long fork.

Aliketi juu ya kiti kilichokuwa juu sana. Alikula kwa kutumia uma iliyokuwa ndefu mno.


Taramaki anawi tolomia namoni naapolon ng’ikaru kaalak.

He left his house and lived in a big forest. He lived for many years.

Aliacha nyumba yake na kuishi katika msitu mkubwa. Aliishi kwa miaka mingi.


Written by: Cornelius Gulere
Illustrated by: Catherine Groenewald
Translated by: Simon Ipoo
Language: Turkana
Level: Level 2
Source: A very tall man from African Storybook
Creative Commons License
This work is licensed under a Creative Commons Attribution 3.0 International License.
Options
Back to stories list Download PDF