Download PDF
Back to stories list

Etunganan Lo Awojan Noi A very tall man Mwanamume mrefu

Written by Cornelius Gulere

Illustrated by Catherine Groenewald

Translated by Betty Atima

Language Ateso

Level Level 2

Narrate full story The audio for this story is currently not available.


Eke meleku awuriana noi.

His hoe was too short.

Jembe lake lilikuwa fupi mno.


Ekek ke ejesuna kwap noi.

His doorway was too low.

Mlango wake ulikuwa chini mno.


Eke eitaada ewuriana noi.

His bed was too short.

Kitanda chake kilikuwa kifupi mno.


Egaalike da ewuriana noi.

His bicycle was too short.

Baisikeli yake ilikuwa fupi sana.


Etunganan lo e’wuja noi.

This man was too tall!

Mtu huyu alikuwa mrefu zaidi!


Obu ngesi osubu amusenu na emeleku na awoja noi.

He made a very long hoe handle.

Alitengeneza mpini wa jembe mrefu sana.


Obu osubu amiagoi nu ekek nu ikiara.

He made very high door frames.

Alitengeneza fremu ndefu za milango.


obu osubu eitaada lo awojan noi.

He made a very long bed.

Alitengeneza kitanda kirefu sana.


ogweluni egaali lo ikiara noi.

He bought a very high bicycle.

Akanunua baisikeli iliyokuwa ndefu mno.


Abu kiboyikin oicolong lo ekiara noi. Onyami keda awuma na e’woja noi.

He sat on a very high chair. He ate with a very long fork.

Aliketi juu ya kiti kilichokuwa juu sana. Alikula kwa kutumia uma iliyokuwa ndefu mno.


Obu ojalaki eke togo olosi aiboi toma a’magoro na tii. Iboiti ikaru luipu.

He left his house and lived in a big forest. He lived for many years.

Aliacha nyumba yake na kuishi katika msitu mkubwa. Aliishi kwa miaka mingi.


Written by: Cornelius Gulere
Illustrated by: Catherine Groenewald
Translated by: Betty Atima
Language: Ateso
Level: Level 2
Source: A very tall man from African Storybook
Creative Commons License
This work is licensed under a Creative Commons Attribution 3.0 International License.
Options
Back to stories list Download PDF