Download PDF
Back to stories list

Ŋ Utu Laga a Lojo A very tall man Mwanamume mrefu

Written by Cornelius Gulere

Illustrated by Catherine Groenewald

Translated by Aga Khan Foundation

Language Kakwa

Level Level 2

Narrate full story The audio for this story is currently not available.


Kole na lepe na luba lo a lojo sa.

His hoe was too short.

Jembe lake lilikuwa fupi mno.


Kaakutu na lepe na a mberembere sa.

His doorway was too low.

Mlango wake ulikuwa chini mno.


Gbolo na lepe na anaŋutu sa.

His bed was too short.

Kitanda chake kilikuwa kifupi mno.


Gari lo lepe lo a loŋutu sa.

His bicycle was too short.

Baisikeli yake ilikuwa fupi sana.


Ilo ŋutu de a lojo sa.

This man was too tall!

Mtu huyu alikuwa mrefu zaidi!


Lepe a keba le’de luba laga lojo.

He made a very long hoe handle.

Alitengeneza mpini wa jembe mrefu sana.


Lepe a kukunda kaakutu naga a najo.

He made very high door frames.

Alitengeneza fremu ndefu za milango.


Lepe a kukunda gbolo naga a najo.

He made a very long bed.

Alitengeneza kitanda kirefu sana.


Lepe a gborundo gari laga a lojo.

He bought a very high bicycle.

Akanunua baisikeli iliyokuwa ndefu mno.


Lepe a gbi’diki i si’de naga i ‘diko’diko. Lepe nyosu ku ‘busu laga ku kala laga a lojo.

He sat on a very high chair. He ate with a very long fork.

Aliketi juu ya kiti kilichokuwa juu sana. Alikula kwa kutumia uma iliyokuwa ndefu mno.


Lepe a koloki ‘baa lanye lo duga ku sakaji i rudu laga a duma kata.

He left his house and lived in a big forest. He lived for many years.

Aliacha nyumba yake na kuishi katika msitu mkubwa. Aliishi kwa miaka mingi.


Written by: Cornelius Gulere
Illustrated by: Catherine Groenewald
Translated by: Aga Khan Foundation
Language: Kakwa
Level: Level 2
Source: A very tall man from African Storybook
Creative Commons License
This work is licensed under a Creative Commons Attribution 3.0 International License.
Read more level 2 stories:
Options
Back to stories list Download PDF