Nabhooka na kúbhacha mootó.
Ninaamka na kuwasha moto.
I wake up and make fire.
Nalesegaja ng’homba mnúngu.
Ninakoroga uji kwenye chungu.
I stir the pot.
Alibhole nalebheja milemo ho gwitumaa… wakati onzunawane alighusha.
Kwa nini ninafanya kazi kwa bidii…
…wakati mdogo wangu anacheza?
Why do I work so hard…
… when my brother is busy playing?