Download PDF
Back to stories list

मोम के बच्चे Watoto wa nta Children of wax

Written by Southern African Folktale

Illustrated by Wiehan de Jager

Translated by Nandani

Language Hindi

Level Level 2

Narrate full story The audio for this story is currently not available.


एक समय की बात है, एक बहुत ही खुशहाल परिवार था।

Hapo zamani za kale, paliishi familia yenye furaha.

Once upon a time, there lived a happy family.


वे कभी एक दूसरे से नहीं लड़ते थे। वे घर पर और खेतों में अपने माता-पिता की मदद करते थे।

Hawakugombana hata kidogo. Watoto waliwasaidia wazazi nyumbani na shambani.

They never fought with each other. They helped their parents at home and in the fields.


पर उन्हें आग के पास जाने की अनुमति नहीं थी।

Lakini, walikatazwa kwenda karibu na moto.

But they were not allowed to go near a fire.


वे अपना सारा काम रात में करते थे, क्योंकि वे मोम से बने हुए थे।

Walifanya kazi zao zote usiku. Hii ni kwa sababu walikuwa wameumbwa kwa nta.

They had to do all their work during the night. Because they were made of wax!


लेकिन उन में से एक लड़के की सूरज की रोशनी में जाने की इच्छा थी।

Lakini, kijana mmoja alitamani kwenda nje wakati wa mchana.

But one of the boys longed to go out in the sunlight.


एक दिन उसकी जाने की बहुत ज़्यादा इच्छा हुई तो उसके भाइयों ने उसे चेतावनी दी…

Siku moja tamaa ya kwenda nje ikazidi. Wenzake wakamwonya asiende juani. Lakini, hakusikia.

One day the longing was too strong. His brothers warned him…


पर बहुत देर हो चुकी थी! वह गर्म धूप में पिघल गया था।

Aliyeyuka kwa sababu joto lilikuwa kali.

But it was too late! He melted in the hot sun.


अपने भाई को पिघलता देख मोम के बच्चे बहुत उदास हो गए।

Watoto wa nta walihuzunika walipoona kaka yao akiyeyuka.

The wax children were so sad to see their brother melting away.


पर उन्होंने एक योजना बनाई। उन्होंने उस मोम को एक चिड़िया का आकार दे दिया।

Wakapanga jambo fulani. Walichukua nta iliyoyeyuka wakatengeza ndege.

But they made a plan. They shaped the lump of melted wax into a bird.


वे अपने चिड़िया बने भाई को एक ऊँचे पहाड़ पर ले गए।

Wakamweka ndege huyo juu ya mlima mrefu.

They took their bird brother up to a high mountain.


और जैसे ही सूरज निकला, वह सुबह की रोशनी में गाता हुआ उड़ गया।

Jua lilipochomoza asubuhi, akapeperuka akiimba kwa furaha.

And as the sun rose, he flew away singing into the morning light.


Written by: Southern African Folktale
Illustrated by: Wiehan de Jager
Translated by: Nandani
Language: Hindi
Level: Level 2
Source: Children of wax from African Storybook
Creative Commons License
This work is licensed under a Creative Commons Attribution 3.0 International License.
Options
Back to stories list Download PDF