टिनगी अपनी दादी माँ के साथ रहता था।
Tingi aliishi na bibi yake.
Tingi lived with his grandmother.
वह उनके साथ गायों की देख-भाल करता था।
Alizoea kuchunga ng’ombe na bibi yake.
He used to look after the cows with her.
एक दिन सिपाही आए।
Siku moja wanajeshi walikuja.
One day the soldiers came.
वे अपने साथ गायों को ले गए।
Wakawachukua ng’ombe.
They took the cows away.
टिनगी और उसकी दादी माँ भागे और छुप गए।
Tingi na bibi yake walikimbia na kujificha.
Tingi and his grandmother ran away and hid.
वे रात तक झाड़ियों में छिपे रहे।
Walijificha kichakani hadi usiku.
They hid in the bush until night.
वे सिपाही फिर से वापस आ गए।
Wanajeshi walirudi tena.
Then the soldiers came back.
दादी माँ ने टिनगी को पत्तों के नीचे छिपा दिया।
Bibi alimficha Tingi chini ya majani.
Grandmother hid Tingi under the leaves.
उनमें से एक सिपाही ने उसके ऊपर पैर रख दिया, लेकिन वह चुप रहा।
Mwanajeshi mmoja alimkanyaga, lakini akanyamaza kimya.
One of the soldiers put his foot right on him, but he kept quiet.
जब लगा कि वे सुरक्षित हैं, टिनगी और उसकी दादी माँ बाहर निकल आए।
Wanajeshi walipoondoka Tingi na bibi yake wakajitokeza.
When it was safe, Tingi and his grandmother came out.
वे चुपचाप अपने घर चले गए।
Wakajikongoja kimya kimya kurudi nyumbani.
They crept home very quietly.