क्या वह पलंग के नीचे है?
Je, yuko chini ya kitanda?
Is it under the bed?
क्या वह अलमारी के ऊपर है?
Yuko juu ya kabati?
Is it on top of the cupboard?
क्या वह कूड़ेदान के पास है?
Yuko karibu na pipa la takataka?
Is it next to the bin?
क्या वह टोकरी के अंदर है?
Yuko ndani ya kikapu?
Is it inside the basket?