Tingi yakikalaga na bibi wake.
Tingi aliishi na bibi yake.
Tingi lived with his grandmother.
Yazowela kudima ng’ombe na bibi wake.
Alizoea kuchunga ng’ombe na bibi yake.
He used to look after the cows with her.
Siku monga wanajeshi wakakuzah.
Siku moja wanajeshi walikuja.
One day the soldiers came.
Tingi na bibi wake wakambang’a na kihundika.
Tingi na bibi yake walikimbia na kujificha.
Tingi and his grandmother ran away and hid.
Wakakihundika muchichaka mbaka kutitu.
Walijificha kichakani hadi usiku.
They hid in the bush until night.
Wanajeshi wakauya kanyi.
Wanajeshi walirudi tena.
Then the soldiers came back.
Bibi yakamuhundika Tingi hasi ya mahanze.
Bibi alimficha Tingi chini ya majani.
Grandmother hid Tingi under the leaves.
Mwanajeshi mmonga yakamkanyaga lakini yakanyamala twii.
Mwanajeshi mmoja alimkanyaga, lakini akanyamaza kimya.
One of the soldiers put his foot right on him, but he kept quiet.
Wanajeshi howakauka Tingi na bibi wake wakakilajila.
Wanajeshi walipoondoka Tingi na bibi yake wakajitokeza.
When it was safe, Tingi and his grandmother came out.
Wakakitembasa mhola mhola kuuya kukaya.
Wakajikongoja kimya kimya kurudi nyumbani.
They crept home very quietly.