从前有一条肚子很饿的鳄鱼。
Hapo zamani, palikuwa na mamba mwenye njaa.
他慢慢地、悄悄地去找东西吃。
然后……
Alitafuta chakula taratibu na kwa ukimya. Halafu…
扑通!鳄鱼来了!
POO!!! Mamba anashambulia!
然后他肚子就不再饿了,很高兴。
Baada ya hapo hana njaa tena, na anafurahi.
直到肚子又饿起来了!
Hadi atakapopatwa na njaa tena.