我心裡面感受到好多嘢。
Moyo wangu unahisi vitu vingi.
婆婆同我哋講古仔嘅時候,我感到好開心。
Najisikia furaha bibi yangu akitusimulia hadithi jioni.
同朋友一齊玩嘅時候,我感到好搞笑。
Najisikia kufanya mzaha ninapocheza na rafiki zangu.
爹哋話佢冇晒錢嘅時候,我感到好難過。
Najisikia vibaya baba yangu anaposema hana pesa.
媽咪抱抱我嘅時候,我感到好俾人錫。
Najihisi kupendwa na mama yangu anaponikumbatia.