Back to stories list
دیکھو، آگ!
Angalia, moto!
آگ جلتی ہے۔
Moto unachoma.
کھانا پکتا ہے۔
Moto unatumika kupika.
آگ حرارت دیتی ہے۔
Moto unaleta joto.
آگ روشنی دیتی ہے۔
Moto unaleta mwanga.
دیکھو، آگ!
Angalia, moto!
آگ خوبصورت ہے۔
Moto ni wa ajabu.
اور یہ طاقتور ہے۔
Na una nguvu sana.
Written by: Deborah Namugosa, Beatrice Nabune, Alison Tukei, Rose Sabano
Illustrated by: Rob Owen
Translated by: Samrina Sana
Read by: Sadia Shad
Language: Urdu