Back to stories list
        
	
	
	Hakuna mvua.
	
	
	Hakuna mvua.
	
	
 
	
	
	Jua linang’aa.
	
	
	Jua linang’aa.
	
	
 
	
	
	Kuna mawingu.
	
	
	Kuna mawingu.
	
	
 
	
	
	Kuna baridi.
	
	
	Kuna baridi.
	
	
 
	
	
	Mvua inanyesha.
	
	
	Mvua inanyesha.
	
	
 
	
	
	Kuna ngurumo za radi.
	
	
	Kuna ngurumo za radi.
	
	
 
	
	
	Naona upinde wa mvua.
	
	
	Naona upinde wa mvua.
	
	
 
        
	
		Written by: Clare Verbeek, Thembani Dladla, Zanele Buthelezi
		Illustrated by: Sandra McDougall, Ingrid Schechter
		Translated by: Mutugi Kamundi
		Read by: Lauwo George