Download PDF
Back to stories list

Kupika Kupika

Written by Clare Verbeek, Thembani Dladla, Zanele Buthelezi

Illustrated by Kathy Arbuckle, Ingrid Schechter

Translated by Matteo E. Mwita

Read by Lauwo George

Language Kiswahili

Level Level 1

Narrate full story

Reading speed

Autoplay story


Ninamenya viazi.

Ninamenya viazi.


Ninakatakata kabichi.

Ninakatakata kabichi.


Ninasaga karoti.

Ninasaga karoti.


Ninaosha maharagwe.

Ninaosha maharagwe.


Ninakata maboga.

Ninakata maboga.


Ninakatakata sukuma-wiki.

Ninakatakata sukuma-wiki.


Mama yangu anakatakata vitunguu.

Mama yangu anakatakata vitunguu.


Vitunguu hunifanya nilie vikiwa vinakatwakatwa.

Vitunguu hunifanya nilie vikiwa vinakatwakatwa.


Written by: Clare Verbeek, Thembani Dladla, Zanele Buthelezi
Illustrated by: Kathy Arbuckle, Ingrid Schechter
Translated by: Matteo E. Mwita
Read by: Lauwo George
Language: Kiswahili
Level: Level 1
Source: Cooking from African Storybook
Creative Commons License
This work is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial 3.0 International License.
Options
Back to stories list Download PDF