Download PDF
Back to stories list

Unafanya nini? Unafanya nini?

Written by Nina Orange

Illustrated by Wiehan de Jager

Translated by Matteo E. Mwita

Read by Lauwo George

Language Kiswahili

Level Level 1

Narrate full story

Reading speed

Autoplay story


Ninaimba.

Ninaimba.


Anapunga mkono.

Anapunga mkono.


Ninapiga makofi.

Ninapiga makofi.


Anajinyoosha.

Anajinyoosha.


Anaita.

Anaita.


Ninaitika.

Ninaitika.


Anasikiliza.

Anasikiliza.


Wewe unafanya nini?

Wewe unafanya nini?


Written by: Nina Orange
Illustrated by: Wiehan de Jager
Translated by: Matteo E. Mwita
Read by: Lauwo George
Language: Kiswahili
Level: Level 1
Source: What are you doing? from African Storybook
Creative Commons License
This work is licensed under a Creative Commons Attribution 3.0 International License.
Options
Back to stories list Download PDF