Download PDF
Back to stories list

Тинги и коровы Tingi na ng'ombe

Written by Ingrid Schechter

Illustrated by Ingrid Schechter

Translated by Elena León

Language Russian

Level Level 2

Narrate full story The audio for this story is currently not available.


Тинги жил со своей бабушкой.

Tingi aliishi na bibi yake.


Вместе с ней он ухаживал за коровами.

Alizoea kuchunga ng’ombe na bibi yake.


Однажды пришли солдаты.

Siku moja wanajeshi walikuja.


Они забрали коров.

Wakawachukua ng’ombe.


Тинги с бабушкой убежали и спрятались.

Tingi na bibi yake walikimbia na kujificha.


Они прятались в кустах до вечера.

Walijificha kichakani hadi usiku.


А потом вернулись солдаты.

Wanajeshi walirudi tena.


Бабушка спрятала Тинги под листьями.

Bibi alimficha Tingi chini ya majani.


Один из солдат наступил на него, но он промолчал.

Mwanajeshi mmoja alimkanyaga, lakini akanyamaza kimya.


Когда опасность миновала, Тинги и бабушка вышла ли из укрытия.

Wanajeshi walipoondoka Tingi na bibi yake wakajitokeza.


Они тихонько пробрались домой.

Wakajikongoja kimya kimya kurudi nyumbani.


Written by: Ingrid Schechter
Illustrated by: Ingrid Schechter
Translated by: Elena León
Language: Russian
Level: Level 2
Source: Tingi and the Cows from African Storybook
Creative Commons License
This work is licensed under a Creative Commons Attribution 3.0 International License.
Options
Back to stories list Download PDF