Back to stories list
Moto
Moto
Deborah Namugosa, Beatrice Nabune, Alison Tukei, Rose Sabano
Rob Owen
Jessy Sakala
Christine Mwanza
The audio for this story is currently not available.
Onani, moto!
Angalia, moto!
Moto utentha.
Moto unachoma.
Moto umaphika.
Moto unatumika kupika.
Moto umapatsa thundila.
Moto unaleta joto.
Moto umapatsa kuwala.
Moto unaleta mwanga.
Onani, moto!
Angalia, moto!
Moto ndiwabwino.
Moto ni wa ajabu.
Ndipo ndiwaphamvu.
Na una nguvu sana.
Written by: Deborah Namugosa, Beatrice Nabune, Alison Tukei, Rose Sabano
Illustrated by: Rob Owen
Translated by: Jessy Sakala
Read by: Christine Mwanza