Back to stories list
Buku ya nyengo
Kitabu cha hali ya hewa
Clare Verbeek, Thembani Dladla, Zanele Buthelezi
Sandra McDougall, Ingrid Schechter
David Sani Mwanza
Christine Mwanza
The audio for this story is currently not available.
Dzuwa ndilotentha.
Jua linang’aa.
Mphepho ikugunda.
Kuna upepo.
Kuli makumbi.
Kuna mawingu.
Ndikozizira.
Kuna baridi.
Mvula ilokwa.
Mvua inanyesha.
Kuli mphezi.
Kuna ngurumo za radi.
Ndili kuona utawaleza.
Naona upinde wa mvua.
Written by: Clare Verbeek, Thembani Dladla, Zanele Buthelezi
Illustrated by: Sandra McDougall, Ingrid Schechter
Translated by: David Sani Mwanza
Read by: Christine Mwanza