Ndimachosa zakunja za kaloti.
Ninasaga karoti.
Ndimacheka ndio za sipinachi.
Ninakatakata sukuma-wiki.
Amai amacheka anyensi.
Mama yangu anakatakata vitunguu.
Anyensi imandichosesa misozi ngati yachekedwa.
Vitunguu hunifanya nilie vikiwa vinakatwakatwa.