Cathy har det lengste håret.
Cathy ana nywele ndefu kuliko wote.
Zama har fletta håret sitt.
Zama amesuka nywele zake.
Zanele har greidd håret sitt.
Zanele amechana nywele zake.
Thabo har klipt håret sitt.
Thabo amenyoa nywele zake.
Themba har barbert bort håret sitt.
Themba amenyoa kipara.