잡을 수 있는 두 작은 손.
Mikono miwili midogo ya kushikia.
찰 수 있는 두 작은 발.
Miguu miwili midogo ya kupigia.
볼 수 있는 두 작은 눈.
Macho mawili madogo ya kuonea.
들을 수 있는 두 작은 귀.
Masikio mawili madogo ya kusikia.
그리고 안을 수 있는 두 작은 팔!
Na mikono miwili ya KUKUMBATIA kwa upendo!