Back to stories list
Mwaki
Moto
Deborah Namugosa, Beatrice Nabune, Alison Tukei, Rose Sabano
Rob Owen
Naomi Kamau
The audio for this story is currently not available.
Tarora, mwaki!
Angalia, moto!
Mwaki nĩũcinaga
Moto unachoma.
Mwaki nĩũrugaga
Moto unatumika kupika.
Mwaki nĩũtũheaga ũrugarĩ
Moto unaleta joto.
Mwaki nĩũtũheaga ũtheri
Moto unaleta mwanga.
Tarora, mwaki!
Angalia, moto!
Mwaki nĩ mwega
Moto ni wa ajabu.
Na wĩ hinya.
Na una nguvu sana.
Written by: Deborah Namugosa, Beatrice Nabune, Alison Tukei, Rose Sabano
Illustrated by: Rob Owen
Translated by: Naomi Kamau