Download PDF
Back to stories list

Nguo cia thukuru Sare za shule

Written by Clare Verbeek, Thembani Dladla, Zanele Buthelezi

Illustrated by Mlungisi Dlamini, Ingrid Schechter

Translated by Naomi Kamau

Language Kikuyu

Level Level 1

Narrate full story The audio for this story is currently not available.


Nguo nĩ ndaihu.

Gauni hili ni refu.


Burana nĩ nene.

Sweta hii ni kubwa.


Mũhuko nĩ mũnene.

Mkoba huu ni mkubwa.


Mũcibi nĩ…

Mkanda huu ni…


Ngũbia ĩno nĩ nini.

Kofia hii ni ndogo.


Thogithi nĩ nguhĩ

Soksi hizi ni fupi.


No ĩratũ nĩ njerũ

Lakini viatu hivi ni vipya.


…nĩ ciraigana wega.

…vinanitosha vizuri.


Written by: Clare Verbeek, Thembani Dladla, Zanele Buthelezi
Illustrated by: Mlungisi Dlamini, Ingrid Schechter
Translated by: Naomi Kamau
Language: Kikuyu
Level: Level 1
Source: School clothes from African Storybook
Creative Commons License
This work is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial 3.0 International License.
Options
Back to stories list Download PDF