هَذَا الفُسْتَانُ طَوِيلٌ.
Gauni hili ni refu.
هَذِهِ الكَنْزَةُ كَبيرَةٌ.
Sweta hii ni kubwa.
هَذِهِ الحَقيبَةُ كَبيرَةٌ.
Mkoba huu ni mkubwa.
هَذِهِ القُبَّعَةُ صَغِيرَةٌ.
Kofia hii ni ndogo.
هَذِهِ الجَوَارِبُ قَصِيرَةٌ.
Soksi hizi ni fupi.
لَكِنَّ هَذَا الحِذَاءَ جَديدٌ.
Lakini viatu hivi ni vipya.
إِنَّهُ مُنَاسِبٌ جِدًّا…
…vinanitosha vizuri.