Download PDF
Back to stories list

Akinyang Na Anyamit Akoro The hungry crocodile Mamba mwenye njaa

Written by Christian G.

Illustrated by Wiehan de Jager

Translated by Simon Ipoo

Language Turkana

Level Level 1

Narrate full story The audio for this story is currently not available.


Ayei kolong akinyang nanyamit akoro.

Once there was a very hungry crocodile.

Hapo zamani, palikuwa na mamba mwenye njaa.


Asaki ng’esi akimuj wadio nabo ekililing’at. Napei kona…

He searched for food slowly and quietly. And then…

Alitafuta chakula taratibu na kwa ukimya. Halafu…


PUU! Toporok akinyang!

POW!!! The crocodile strikes!

POO!!! Mamba anashambulia!


Arumoret kaneni, amam akoro anyamit ng’esi, nabo talakar ng’esi.

After that he is no longer hungry, and he is happy.

Baada ya hapo hana njaa tena, na anafurahi.


Todol ni enyamia ng’esi akoro nabo.

Until he gets hungry again.

Hadi atakapopatwa na njaa tena.


Written by: Christian G.
Illustrated by: Wiehan de Jager
Translated by: Simon Ipoo
Language: Turkana
Level: Level 1
Source: The hungry crocodile from African Storybook
Creative Commons License
This work is licensed under a Creative Commons Attribution 3.0 International License.
Options
Back to stories list Download PDF