Back to stories list
Bukit Ab Ole U Emet
Weather book
Kitabu cha hali ya hewa
Clare Verbeek, Thembani Dladla, Zanele Buthelezi
Sandra McDougall, Ingrid Schechter
Chepchumba Maiyo
The audio for this story is currently not available.
Yamat.
It is dry.
Hakuna mvua.
Lalei asista.
The sun is hot.
Jua linang’aa.
Usei.
It is windy.
Kuna upepo.
Mi boldet.
It is cloudy.
Kuna mawingu.
Kaitit.
It is cold.
Kuna baridi.
Roboni.
It is raining.
Mvua inanyesha.
Tulei.
There is thunder.
Kuna ngurumo za radi.
Agere chepng’isiriet.
I see a rainbow.
Naona upinde wa mvua.
Written by: Clare Verbeek, Thembani Dladla, Zanele Buthelezi
Illustrated by: Sandra McDougall, Ingrid Schechter
Translated by: Chepchumba Maiyo