Home
About
About us
Languages
How to use this website
Contact us
Download PDF
Change language
Latin
English
French
German
Hindi
Italian
Mandarin
Polish
Portuguese
Russian
Spanish
Swahili
Back to stories list
Kupika
Cooking
la
en
Clare Verbeek, Thembani Dladla, Zanele Buthelezi
Kathy Arbuckle, Ingrid Schechter
Matteo E. Mwita
Lauwo George
Kiswahili
Level 1
Ninamenya viazi.
I peel the potatoes.
la
en
Ninakatakata kabichi.
I chop a cabbage.
la
en
Ninasaga karoti.
I grate the carrots.
la
en
Ninaosha maharagwe.
I wash the beans.
la
en
Ninakata maboga.
I cut the butternut.
la
en
Ninakatakata sukuma-wiki.
I chop the spinach.
la
en
Mama yangu anakatakata vitunguu.
My mom chops the onions.
la
en
Vitunguu hunifanya nilie vikiwa vinakatwakatwa.
Onions make me cry when they are chopped.
la
en
Written by:
Clare Verbeek, Thembani Dladla, Zanele Buthelezi
Illustrated by:
Kathy Arbuckle, Ingrid Schechter
Translated by:
Matteo E. Mwita
Read by:
Lauwo George
Language:
Kiswahili
Level:
Level 1
Source:
Cooking
from
African Storybook
This work is licensed under a
Creative Commons Attribution-NonCommercial 3.0 International License
.
Read more
level 1
stories:
Mwili wangu
Wapi paka wangu?
Kuhesabu wanyama
Mdogo wangu mvivu
Hisia
Tazama wanyama
Sare za shule
Mbili
Unafanya nini?
Mamba mwenye njaa
Nywele
Kitabu cha hali ya hewa
Moto
Ninapenda kusoma!
Options
Back to stories list
Download PDF